Wapenza soka wamepatwa na msiba wa midfielder mkali enzi zake ambae alikua anapigana na ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu sana.
John "Shoes" Moshoeu midfielder wa zamani wa Bafana Bafana amefariki leo akiwa na miaka 49. Moshoeu aliwai kucheza kwenye club ya Kaizer Chiefs, Fenerbahce na Bursaspor.
John Shoes Moshoeu atakumbukwa kwa performance yake hasa kwenye kombe la mataifa ya Africa mwaka 1996.
Comments
Post a Comment