BARCELONA imeshinda magoli 2-0 katika mechi ya marudiano ya ligi ya mabingwa barani ulaya iliyopigwa jana usiku uwanja wa Camp Nou dhidi ya PSG.
Magoli ya Barca yote mawili yamefungwa na Neymar Jr.
Kwa ushindi huo Barca wanafuzu kwa ushindi wa jumla wa magoli 5-1 kwani mechi ya kwanza miini Paris Ufaransa walisjinda 3-1.
Comments
Post a Comment