Pep Guardiola achana suruali wakati Bayern Munich ilipoirarua Porto



Pep Guardiola achana suruali wakati Bayern Munich ilipoirarua Porto

pep 3

Na Anwar Binde,

Baada ya timu yake ya Bayern Munich kufunga mabao matano  kipindi cha kwanzadhidi ya Porto, ilikuwa hakuna mshangao kuona Pep Guardiola kucheza juu ya mistari ambayo makocha husimama. Lakini bosi wa Bayernalisherekea sana hadi kupelekea kuchana suruali ya suti yake nadhifu nay a ghalama kubwa na kubaki na shimo kubwa lililopelekea boksa yake ya blue kuonekana dhahili shahiri!

pep 1

Guardiola alikuwa na presha kubwa katika mchezo huo wa ushinda na ulikua ni ni mchezo wake wa 100 katika ligi ya  mabingwa ulaya, mchezo wa kwanza ulishuhudiwa timu yake ikipoteza kwa goli 3-1 robo fainali ya kwanza. Lakini  goli la kwanza la mapema liliweza kuiamsha na kuipa ujasiri Bayern  kushinda 6-1 na kuvuka katika raundi inayofuata  ya nusu fainali.



Comments