Ozil amvalisha jezi ya The Gunners mbwa wake kuelekea mchezo wake Dhidi ya Chelsea.


Ozil amvalisha jezi ya The Gunners mbwa wake kuelekea mchezo wake Dhidi ya Chelsea.

0zil

Na Anwar Binde,

Arsenal wanawakaribisha Chelsea katika mchezo wa ligi jumapili hii mchana,Ozil amepost picha ya mbwa wake instagram akiwa amevaa jezi ya arsenal ikiwa na namba 11 mgongoni na jina la mbwa aitwae Balboa.

Mchezaji huyo aliandika kwamba Balboa yupo tayari kwa mechi dhidi ya Chelsea,Arsena wanakwanda kujalibu kupunguza pengo la pointi zifike saba.

Inaonekana mchezaji wa nafasi ya kiungo wa arsenal Mesut Ozil anaonekana ni mchezaji pekee alien a mzuka nyumbani kwake wa mechi dhidi ya Chelsea baada ya kutuma picha kwenye mtandao wake wa instagram akimuonyesha mbwa wake akiwa tayari kabisa kwa mechi dhidi ya majirani zao wa jiji la London.

ozil 2

Ozil alionekana ametulia nyumbani akiwa amepumzika akiwa anaipandisha picha hiyo mtandaoni.

Kiungo huyo alieshinda kombe la dunia pale nchin Brazil amesema anamshukuru sana mbwa wake Balboa kwamba amemfanya atoe hofu ya kuogopa mbwa na kufanya ampende sana mnyama huyo.

 



Comments