Njozi za Liverpool kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao, zimezidi kufifia baada ya kukubali kipigo cha 1-0 kutoka kwa Hull City.
Liverpool sasa inabakia nyuma ya Manchester United kwa tofauti ya pointi saba huku ikiwa imesalia michezo minne kabla Ligi Kuu ya England kukamilika.
Bao pekee la Hull City lilifungwa na beki Craig Dawson katika dakika ya 37 na kuwaacha mashabiki hoi wa Liverpool.
HULL CITY (3-5-1-1): Harper 7; Chester 6.5, Dawson 7.5, McShane 7: Elmohamady 7, Livermore 7, Huddlestone 7, Quinn 6.5 (Ramirez 84), Brady 7: Aluko 8 (Bruce 86), N'Doye 7.5 (Rosenoir 90).
LIVERPOOL (4-1-4-1): Mignolet 7; Can 5, Skrtel 5.5, Lovren 5 (Markovic 76), Johnson 6: Allen 5: Ibe (Lallana 65) 5.5, Henderson 5.5, Coutinho 5, Sterling 5: Balotelli 5 (Lambert 65)
Comments
Post a Comment