Neymar ameibuka shujaa baada ya kuifungia Barcelona mabao yote mawili katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
Katika mchezo wa kwanza Barcelona ilishinda 3-1 ugenini na sasa inapenya hadi hatua ya nusu fainali kwa jumla ya magoli 5-1. Neymar alifunga katika dakika ya 14 na 34.
Barcelona starting XI: Ter Stegen, Pique, Mascherano, Jordi Alba, Dani Alves, Rakitic, Busquets, Iniesta, Suarez, Messi, Neymar.
Barca subs: Bravo, Bartra, Adriano, Xavi, Rafinha, Sergi Roberto, Pedro.
Paris Saint-Germain starting XI: Sirigu, Marquinhos, Maxwell, Van der Wiel, David Luiz, Cabaye, Matuidi, Verratti, Pastore, Cavani, Ibrahimovic.
PSG subs: Douchez, Camara, Digne, Lucas, Rabiot, Bahebeck, Lavezzi.
Comments
Post a Comment