KUELEKEA MECHI YA ARSENAL VS CHELSEA…HAWA NI WACHEZAJI WALIOWAI KUWA KAMA CESC FABREGAS


KUELEKEA MECHI YA ARSENAL VS CHELSEA…HAWA NI WACHEZAJI WALIOWAI KUWA KAMA CESC FABREGAS

fab

Cesc Fabregas amekua ni mchezaji anaezungumziwa sana kuelekea kwenye mechi ya Chelsea Vs Arsenal Jumapili hii. Sababu kubwa inayofanya azungumziwe sana ni ishu ya kucheza kwenye uwanja wa Emirates kwa mara kwanza tangu asepe kwenye timu ya Arsenal.

Ukicheki historia utakuta majina mengi ya wachezaji ambao waliwai kuhama kati ya hizi timu mbili na kucheza dhidi ya timu yake ya zamani. Hii hapa ni list ya wachezaji 10 ambao kwa nyakati tofauti waliwai kucheza Arsenal na Chelsea.

Yossi Benayoun alicheza Chelsea 2010-2011 na akaenda Arsenal kwa mkopo kati ya 2011-2012.

Lassana Diarra alicheza Chelsea 2005-2007 na Arsenal 2007-2008

William Gallas alicheza Chelsea 2001-2006 na Arsenal 2006-2010

Ashley Cole alicheza Arsenal 1999-2006 na Chelsea 2006-2014

Nicolas Anelka aicheza Arsenal 1997-1999 na Chelsea mwaka 2008-2012

Emmanuel Petit alicheza Arsenal 1997-2000 na Chelsea 2001-2004

Peter Nicholas alicheza Arsenal 1981-1983 na Chelsea 1988-1891

Clive Allen alicheza Arsenal 1980 na Chelsea 1991-1992

Cesc Fabregas alicheza Arsenal mwaka 2003-2011 na Chelsea 2014 hadi leo.



Comments