HII NDIYO SABABU ALIYOTOA SIR ALEX FERGUSON KWANINI RONALDO NI BORA KULIKO MESSI



HII NDIYO SABABU ALIYOTOA SIR ALEX FERGUSON KWANINI RONALDO NI BORA KULIKO MESSI

fegi

Manager wa zamani wa Manchestet United na aliyechangia kwa kiasi kikubwa kwenye mafanikio ya Cristiano Ronaldo amesema sentensi ambazo moja kwa moja zinamuweka Ronaldo juu zaidi ya Messi.

Ferguson anakiwa kwenye interview na BBC Sport alisema Messi ni mchezaji wa Barcelona, Ronaldo ana cheza kwa miguu miwili na yupo so fast. Mzuri akiwa hewani na hata chini. Ronaldo anageweza kuwa mchezaji wa Millwall, QPR, Doncaster Rovers na angefunga hat trick.

Ronaldo na Messi kwa muda mrefu wametajwa kuwa ni wachezaji wa leveo ya juu duniani na kila mwaka Ballo d'Or huwa ni debate kati ya hawa wawili. Topic ya nani mkali inazungumziwa sana hivi sasa miongoni mwa watu mbalimbali.

 



Comments