ARSENAL INABOA…MIAKA 10 BILA UBINGWA WA EPL


ARSENAL INABOA…MIAKA 10 BILA UBINGWA WA EPL

arsenal

Ukicheki kwenye historia ya  kunyakua ubingwa wa EPL mara ya mwisho Arsenal imechukua taji kwenye msimu wa 2003/2004 ambapo ni miaka 10 imepita hadi leo bado hawajafanikiwa kuchua. Japokua msimu wa 2004/2005 walifika nafasi ya pili kuelekea mbio za kunyakua hilo taji.

"Arsenal ndio inaboa, miaka 10 bila kuwa na ubingwa wa ligi"..Haya sio maneno yangu bali ni maneno ya mdau Jose Mourinho. Baada ya mashabiki wa Arsenal kusema sana Chelsea inaboa hasa kwenye mchezo wao kwenye uwanja wa Emirates. Waandishi wa habari wakamuuliza Mourinho kuhusu hiyo ishu.

Kama kawaida Mourinho hakopeshi kwenye majibu yake akasema kwamba Arsenal ndio inaboa kwa sababu haijachukua ubingwa kwa miaka 10 hadi leo.



Comments