Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu .
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo.
Baadhi ya waandishi wa habari za michezo wakifatilia mafunzo hayo.
Waandishi wa habari wakipiga msosi wa mchana.
Comments
Post a Comment