Sir Alex Ferguson (Babu) kutoa kitabu kipya


Sir Alex Ferguson (Babu) kutoa kitabu kipya

268941A400000578-2989625-Co_authored_with_Michael_Moritz_the_book_will_detail_Ferguson_s_-a-3_1426076882955Na Amplifaya

Kocha mstaafu, Alex Ferguson yuko katika hatua za mwisho kutoa kitabu kingine.

Taarifa zimeeleza kitabu hicho zaidi kitalalia katika suala la ufundi uwanjani na nini alichofanya akiwa kocha.

Tayari wachambuzi wa soka Ulaya wameishaanza kusema kuwa kitabu hicho huenda kitakuwa msaada mkubwa kwa kocha wa sasa wa Man United, Louis van Gaal.

Kumbuka kuwa Louis Van Gaal amepewa mechi tano hadi na secretariat ya timu endapo akipoteza atabakia?

Na ujio wa hiki kitabu inaweza ikawa kichochezi cha Van Gaal kuondoka Manchester United?

Ni maswali ambayo inabidi ukae na ujiulize tu, tutaona hatima yake itakuwaje.

BBC Sports



Comments