Akudo Impact "Vijana wa Masauti" wameachia wimbo mpya kabisa ukiwa ni maalum kwa ajili ya kupiga vita mauaji ya albino.
Ngoma hiyo iliyorekodiwa katika studio za Soft Records chini ya Producer Pishuu Menchat Shemeshaa, imepewa jina la "Mauaji ya Albino" ambapo ndani yake utapata sauti tamu zinazoonya kwa manung'uniko yatakayokufanya usikinai kuusikiliza wimbo huo.
Usikilize hapo chini "Mauji ya Albino".
Comments
Post a Comment