Pele: Messi ni zaidi ya Ronaldo



Pele: Messi ni zaidi ya Ronaldo

messi26032014Na Amplifaya Amplifaya

Aliyekuwa mchezaji wa timu ya Taifa ya Brazil Legend Pele ametamka bayana kwamba Messi ni bora kuliko Ronaldo na bora zaidi duniani.

Mchezaji huyo kutoka timu ya Taifa ya Argentina na klabu ya soka ya Barcelona kutoka Hispania alijinyakulia tunzo 4 za mchezaji bora wa dunia ukilinganisha na Ronaldo ambaye anazo 3 akiwa anaitunikia Real Madrid na timu yake ya Taifa Ureno.cr7

Pele alisema " wakati mwingi sana watu wamekuwa wakilinganisha ubora wa Messi na Ronaldo lakini wana aina tofauti ya mchezaji, alisema mchezaji huyo ambaye alifanikiwa kushinda kombe la dunia Mara 3 akiwa na timu yake ya Brazil.

Pele alizidi kusesema "Ni wachezaji wawili wakubwa lakini kwa miaka 10 iliyopita Messi amekuwa bora.

Sports week



Comments