Kama ni mashamsham ya nje ya uwanja kuelekea mechi ya watani wa jadi iliyopigwa Jumapili iliyopita, basi Yanga walizoa pointi tatu lakini linapokuja suala la kandanda dimbani, bado haijulikani ni lini Yanga watakata uteja kwa Simba.
Licha ya mbwembwe nyingi, bado Yanga wakakalishwa kwa bao 1-0 lililofungwa na Emanuel Okwi aliyemchambua kama karanga kipa Mustapha Barthez.
Hebu tupia macho picha kadhaa za namna mashabiki wa Yanga walivyokuwa wakiingia Uwanja wa Taifa kwa mbwembwe.
Mashabiki wa Yanga wakiingia uwanjani kwa mshindo mkuu
Ni mbwembwe za kila aina
Hata kocha wa makipa Juma Pondamali nae aliingia uwanjani mwa mbwele zilizowatisha mashabiki wa Simba
Mashabiki wa Yanga wakiwa kwenye foleni ya kuingia uwanjani




Comments
Post a Comment