Adhabu ya Martin Skertel kufungiwa mechi tatu baada ya kumkanyaga beki David de Gea wa Manchester United iko pale pale.
Beki huyo wa Liverpool sasa atakosa mechi za Ligi Kuu za Arsenal na Newcastle pamoja na mchezo wa marudiano wa robo fainali ya FA Cup dhidi ya Blackburn.
Skrtel, 30 ambaye alibahatika kukwepa adhabu katika mchezo wa kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa United Jumapili iliyopita, alipinga ushahidi wa video ulioonyesha akimkanyaga De Gea lakini FA imetupilia mbali ombi lake.
Comments
Post a Comment