MANCHESTER UNITED SASA NJIA NYEUPE KUMSAJILI MATS HUMMELS WA BORUSSIA DORTMUND




MANCHESTER UNITED SASA NJIA NYEUPE KUMSAJILI MATS HUMMELS WA BORUSSIA DORTMUND

Manchester United target Mats Hummels is prepared to              leave Borussia Dortmund for a new challenge

Hatimaye Manchester United imepewa 'go-ahead' ya kumsajili sentahafu Mats Hummels wa Borussia Dortmund katika mipango yao ya kuimarisha safu ya ulinzi msimu ujao.

Dail Maily limefichua kuwa baada ya miaka mingi ya utiifu kwa Borussia Dortmund na kuchomoa mara kadhaa nafasi ya kujiunga na United, beki huyo wa Ujerumani sasa yupo tayari kuachana miamba hiyo ya Bundesliga.

Mats Hummels bado anajua kuwa yupo kwenye rada za Manchester United na inaaminika kuwa ameweka akili yake Old Trafford akitarajia kuwa moja ya majina makubwa yatakayoongezwa kwenye kikosi cha bei mbaya cha Van Gaal.

Inatarajiwa kuwa Borussia Dortmund watahitaji kulipwa pauni milioni 36 kwaajili ya saini ya beki huyo mwenye umri wa miaka 26.



Comments