JOSE MOURINHO KOCHA TAJIRI ZAIDI … Pep Guardiola wa tatu, Louis van Gaal namba 5


JOSE MOURINHO KOCHA TAJIRI ZAIDI … Pep Guardiola wa tatu, Louis van Gaal namba 5

Chelsea's Jose Mourinho tops the manager's rich list              with an annual income of £13.2m 

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho ndiye boss tajiri zaidi duniani kwa mwaka 2014 akiwa amekusanya pauni milioni 13.2 huku akiwafungisha tela  Carlo Ancelotti wa Real Madrid mwenye pauni milioni 11.14 pamoja na Pep Guardiola wa Bayern Munich aliyeingiza pauni milioni 11.2.

Arsene Wenger wa Arsenal anakamata nafasi ya nne kwa pauni milioni 8.3 wakati mpinzani wake Louis van Gaal wa Manchester United  anashika nafasi ya tano kwa kujikusanyia pauni milioni 7.3.

Orodha kamili ya makocha 10 matajiri zaidi duniani kama ilivyotolewa na jarida la France Football ni kama ifuatavyo:

1. Jose Mourinho £13.2m

2. Carlo Ancelotti £11.4m

3. Pep Guardiola £11.2m

4. Arsene Wenger £8.3m

5. Louis van Gaal £7.3m

6. Fabio Capello £6.6m

7. Andre Villas-Boas £6.2m

8. Sven-Goran Eriksson £5.9m

9. Jurgen Klopp £5.3m

10. David Moyes na Laurent Blanc £5.1m.



Comments