JAHAZI MODERN TAARAB WAKO DA’ WEST PARK LEO USIKU



JAHAZI MODERN TAARAB WAKO DA' WEST PARK LEO USIKU
JAHAZI MODERN TAARAB WAKO DA' WEST PARK LEO USIKU

Kundi bora la taarab, Jahazi Modern Taarab leo usiku litaangusha burudani ya aina yake ndani ya ukumbi wa Da' West Park Tabata.

Akiongea na Saluti5, mkurugenzi wa Jahazi, Mfalme Mzee Yussuf, amesema kwa mara ya kwanza wakazi wa Tabata watapata fursa ya kusikia vionjo vipya kabisa vya kundi lake.



Comments