MABINGWA watetezi wa ligi ya mabingwa barani ulaya, Real Madrid watachuana na wapinzani wao wakubwa wa soka la Hispania, Atletico Madrid katika mechi ya robo fainali ya UEFA.
Timu hizi zilikutana katika fainali ya mwaka jana (2014), Real Madrid wakisubiri dakika 120 kuwapiga vijana wa Diego Simeone.
Real walifuzu hatua ya robo fainali kwa kuichapa Schalke ya Ujerumani, wakati Atletico walisubiri mpaka mikwaju ya penalti kuwafunga Bayern Leverkusen.
DROO HII HAPA…..
Comments
Post a Comment