Dakika 45 za Kwanza, Simba wagongwa 1-0 na Mgambo


Dakika 45 za Kwanza, Simba wagongwa 1-0 na Mgambo

DSC_0081

Na Richard Bakana,

Dakika 45 za kipindi cha kwanza za mchezo kati ya Mgambo Shooting pamoja na Simba SC, zimemalizika kwa Simba kukubali kipigo cha bao 1-0.

Bao la Mgambo limefungwa na Ally Idd katika dakika ya 44 kwa shuti kali.



Comments