Ni wakati sasa wa Simba kuondoa mfumo wa uanachama ni iwe taasisi pekee ya kujitegemea.


Ni wakati sasa wa Simba kuondoa mfumo wa uanachama ni iwe taasisi pekee ya kujitegemea.

Na El Toul Vidal
Maoni yangu ya moyoni ni haya simba inatakiwa kuanzia sasa hivi mfumo wa uanachama ufe kabisa maana huu ulipelekea simba kuvurunda tangu enzi za rage bora simba ibakie na mashabiki wanachama wa simba kwa kile walichokuwa wakikinena kuwa simba ni mali yao ndiyo hicho kilichoivuruga simba hatuna maana simba ni mbaya na simba timu ya watu 23 ni mbovu imesajiriwa vizuri sana na imekamilika kila idara tatizo ni mfumo wa uwanachama ndiyo unaoiua simba tena vibaya sana.
avevaa
Kwahiyo simba inahitaji mabadiriko bora tubaki ushabiki tuache timu ijengwe na viongozi kuliko mtu wa kisiju kuwa na sauti dhidi ya mtu wa kariakoo, sina maana ya kwamba mtu wa kisiju hana sauti bali maana yangu ni kwamba aliyekuwa hana kitu kuwa na nguvu dhidi ya mwenye nacho sababu kubwa ni mwanachama wa simba hiki ndiyo sumu kubwa ya simba tunaomba simba iachwe kama taasisi ambayo haina wanachama ibakie kuwa taasisi inayojiendesha yenyewe kimaendeleo….
Na hawa ndugu waliopo madarakani wakubali wao ndiyo waliivuruga simba kwahiyo kuirudisha simba kuwa sawa inataka utulize sana kichwa chini kama ulivyotuliza kichwa chini kuvuruga simba……
Imekuwa nchi ya ahadi mambo hayatimii mipango haiendi inavyotakiwa badirikeni msidhani kuwa mlivyotumia akili nyingi kuihujumu simba mnafikiri hata kuirudisha ni rahic kama hisia zenu zitakavyo kaeni chini badirisheni mifumo mliyoijenga kwa uharibifu na muiweke mifumo ya kujenga….
Bado timu nzuri na ipo vizuri ila wachafu ni ninyi ambao mnatakiwa kuibadirisha iwe sawa hayo ndiyo maoni yangu ktk kuitaka simba iwe sawa



Comments