Majibu ya swali lililohoji Messi kukosa Mkwaju wa penalti haya hapa………

Majibu ya swali lililohoji Messi kukosa Mkwaju wa penalti haya hapa………

1424904532117

Majibu ya swali ambalo limeulizwa kwa wadau wa michezo hadi sasa linalohoji,

Mara baada ya Messi kukosa penalt dhidi ya Manchester City katika uwanja wa ETIHAD, je inaweza kuigharimu Barcelona katika mechi ya marejeano?

Asilimia 31.8 wamesema Yes halikadhalika asilimia 68.2 wamesema No

Comments