Luis Nani abubujikwa na machozi mara baada ya kufunga bao kali,


Luis Nani abubujikwa na machozi mara baada ya kufunga bao kali,

naniNani alibubujikwa na machozi mara tu baada ya kuifungia timu yake bao la pili kwa mkaju mkali wa guu lake la kushoto,Nani alipokera mpira wa kurushwa kwa kicha kabla ya kupiga shuti lililokuwa na mwendokasi wa 97km/h kutoka umbali wa yadi kama 30 ivi.hilo lilikuwa bao la pili na ushindi kwa timu yake kwenye mchezo wa ligi kuu ya Ureno uliopigwa kwenye dimba la Jose Alvalade dhidi ya Gil Vicente.

Winga huyo mwenye umri wa miaka 28 anayechezea Sporting kwa mkopo akitokea Manchester Utd.



Comments