Kroos alivyotengeneza ‘muvu’ ya goli la Ronaldo



Kroos alivyotengeneza 'muvu' ya goli la Ronaldo
25CE9FF900000578-2959030-image-a-35_1424290298705
KROOS (jezi namba 8)alianzisha mipango ya shambulizi kwa Real Madrid akipiga pasi safi kwenda kwa Carvajal (jezi namba 15) ambaye alimpigia krosi maridadi Cristiano Ronaldo (jezi namba 7) aliyefunga goli la kuongoza dakika ya 26′ kipindi cha kwanza.
Cheki picha ya goli lilivyotengenezwa hapo chini ;
Kroos (8) started the move for Madrid before the ball              was worked out to Carvajal (15), who supplied a perfect              cross for Ronaldo 


Comments