SIKILIZA WIMBO MPYA WA RUBBY BAND …songi linakwenda kwa jina la “Noma”



SIKILIZA WIMBO MPYA WA RUBBY BAND …songi linakwenda kwa jina la "Noma"
SIKILIZA WIMBO MPYA WA RUBBY BAND …songi linakwenda kwa            jina la

Baada ya kutesa na wimbo wao "Kisebusebu", Rubby Band kundi linaloundwa na vijana wadogo wanne, linashuka na kete yao ya pili.

Wimbo unakwenda kwa jina la "Noma" ni kazi iliyozalishwa kupitia studio za Rubby Production zilizoko Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Sikiliza wimbo huo.



Comments