SAFARI YA MATS HUMMELS KWENDA MANCHESTER UNITED IMEIVA … Borussia Dortmund yakubali kumuuza, yapata mbadala wake

Borussia Dortmund inaanda utaratibu wa kumpiga bei sentahafu wake Mats Hummels kwa Manchester United.

Hummels amekuwa akitilia mkazo kuwa angependa kuutumikia mkataba wake lakini inaaminika kuwa kuna vikao vinaendelea vya kupanga bei kwa United ambayo inakisiwa kifikia pauni milioni 37.

Katika maendeleo mengine, Dortmund 'imemchungulia' Aleksandar Dragovic wa Dinamo Kiev kama mbadala wa Hummels na tayari imeshaanzisha mazungumzo ya kumnasa.

Comments