PIGO LINGINE ARSENAL … MIKEL ARTETA NJE MIEZI MITATU …huenda asiichezee tena Arsenal



PIGO LINGINE ARSENAL … MIKEL ARTETA NJE MIEZI MITATU …huenda asiichezee tena Arsenal

Arsenal captain Mikel Arteta has been ruled out for              three months after undergoing surgery on his ankle 

Mikel Arteta anaweza kuwa amecheza mechi yake ya mwisho kwa Arsenal baada kuumia na sasa anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu.

 

Nahodha huyo wa Arsenal atakuwa amemaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu na amekuwa majeruhi tangu mwezi Novemba baada kutolewa katika mechi ya Champions League wakati Arsenal ikiiadhibu Borussia Dortmund 2-0 Emirates Stadium.

Arteta was substituted in the victory over Borussia              Dortmund in November, and has not featured since

Arteta, 32 alitarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa kwa mwezi mmoja tu, lakini sasa kupona kwa kiwiko cha mguu kunategemewa kuchukua miezi mitatu.

Hili linakuwa pigo la pili kwa Arsenal ndani ya siku chache baada ya beki Mathieu Debuchy naye kuumia began a kulazimika kuwa nje ya dimba hadi mwezi April.



Comments