NSSF, REAL MADRID WASAINI MKATABA WA KUJENGA AKADEMI YA MICHEZO NCHINI


NSSF, REAL MADRID WASAINI MKATABA WA KUJENGA AKADEMI YA MICHEZO NCHINI

IMG-20150126-WA0063

Moja ya ushauri unaotolewa sana ni kuwa na vituo vya kukuza na kulea vipaji, yaani 'Soccer Acadeny'.

Wakiwa wadau wakubwa wa maendeleo ya  jamii, NSSF wameamua kujiingiza katika soka na leo hii  wamesaini mkataba na klabu ya Real Madrid kujenga akademi ya soka la vijana nchini.

IMG-20150126-WA0064



Comments