Pichani ni mwimbaji nyota wa muziki wa dansi, Ally Chocky na mwanae wa kiume aitwae Chocky - mtu na mwanae wamefanana kupita maelezo.
Hapa ilikuwa ni Jumanne iliyopita nje ya ukumbi wa Flamingo Magomeni ambapo mtoto huyo alimtembelea baba yake kwenye show ya Extra Bongo.
Comments
Post a Comment