MANCHESTER UNITED YA PILI KWA UTAJIRI DUNIANI …ya kwanza kwa England, pata orodha yote hapa


MANCHESTER UNITED YA PILI KWA UTAJIRI DUNIANI …ya kwanza kwa England, pata orodha yote hapa

Manchester United have moved up to second on the list              despite not even being in the Champions League

Msimu uliopita ulikuwa mbaya sana kwa Manchester United katika historia yao ya Premier League, lakini bado haikuwazuia kuwa matajiri zaidi miongoni vilabu zilizotengeneza pesa nyingi duniani.

Katika orodha mpya ya iliyotoka wiki hii, United ni klabu ya pili kwa utajiri duniani ikiwa nyuma ya Real Madrid.

Champions League winners Real Madrid are the wealthiest              club in the world 

Klabu hiyo ya Old Trafford imeziacha nyuma timu mbili zenye nguvu barani Ulaya, Barcelona na Bayern Munich ikiwa imeongeza mapato yake kutoka pauni milioni milioni 363.2 hadi 433.2.

Ligi Kuu ya England imetesa sana katika orodha hiyo ambapo katika timu 30 tajiri duniani, ligi hiyo imeiingiza timu 13.

Manchester City ni ya sita ikifuatiwa na Chelsea, Arsenal na kisha Liverpool huku Totteham ikishika nafasi ya 13, Newcastle ni ya 19 na Everton imekamata nafasi ya 20.

Orodha kamili ya timu 30 tajiri duniani kwa msimu wa 2013/2014 ni hii hapa.

1. Real Madrid - £459.5m

2. Manchester United - £433.2m

3. Bayern Munich - £407.7m

4. Barcelona - £405.2m

5. Paris Saint-Germain - £396.5m

6. Manchester City - £346.5m

7. Chelsea - £324.4m

8. Arsenal - £300.5m

9. Liverpool - £255.8m

10. Juventus - £233.6m

11. Borussia Dortmund - £218.7m

12. AC Milan - £208.8m

13. Tottenham - £180.5m

14. Schalke 04 - £178.9m

15. Atletico Madrid - £142.1m 

16. Napoli £137.8m

17. Inter Milan - £137.1m

18. Galatasaray - £135.4m

19. Newcastle United - £129.7m

20. Everton £120.5m

21. West Ham United - £105.3m

22. Aston Villa - £101.9m

23. Marseille - £100m

24. Roma - £97.7m

25. Southampton - £97.3

26. Benfica - £96.6

27. Sunderland - £95.7m

28. Hamburg - £92.2m

29. Swansea City - £90.5m

30. Stoke City - £90.1m 

 



Comments