ISHA MASHAUZI ALIVYOTOKELEZEA MANGO GARDEN ALHAMISI USIKU

ISHA MASHAUZI ALIVYOTOKELEZEA MANGO GARDEN ALHAMISI USIKU
ISHA MASHAUZI ALIVYOTOKELEZEA MANGO GARDEN ALHAMISI            USIKU

Hivi ndivyo alivyooneka Isha Mashauzi jana usiku wakati yeye na kundi lake la Mashauzi Classic walipojitosa ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni katika onyesho lao la kila Alhamisi.

Isha kama kawaida yake akasuuza nyoyo za mashabiki wake kwa nyimbo zake kadhaa zikiwemo "Mapenzi Hayana Dhamana" na "Viwavi Jeshi".

Comments