HENDERSON, COSTA ALMANUSURA WACHAPANE KAVU KAVU



HENDERSON, COSTA ALMANUSURA WACHAPANE KAVU KAVU
24E28D8D00000578-2920936-image-a-41_1421886753743
Jordan Henderson (wa pili kulia) na Diego Costa (kulia) pia walirushiana maneno walipokuwa uwanjani
JORDAN Henderson na Diego Costa wameripotiwa kuwa na ugomvi walipokutana nje ya vyumba vya kubadilishia nguo baada ya mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la ligi iliyopigwa jumanne iliyopita kwenye uwanja wa Anfield baina ya Liverpool na Chelsea.
Wawili hao waliwakiana vikali na kutaka kupigana, lakini waliamuliwa na wahudumu wa vyumba vya kubadilishia nguo.
Inaaminika kwamba hawakurushiana ngumi, lakini wachezaji hao walisukuma kwa hasira na kurushiana maneno.
Henderson seemed to gesture at something as he                    and Costa went face-to-face
Henderson alionekana kumuonesha kitu na Costa akiwa amemtumbulia macho


Comments