HAKUNA LIONEL MESSI, NEYMAR WALA LUIS SUAREZ LAKINI BARCELONA YAUA 4-0 …yasonga mbele Copa del Rey kwa bao 9-0



HAKUNA LIONEL MESSI, NEYMAR WALA LUIS SUAREZ LAKINI BARCELONA YAUA 4-0 …yasonga mbele Copa del Rey kwa bao 9-0

Sergi Roberto points to the skies after scoring Barca's              second goal during the Copa del Rey tie

Kocha Luis Enrique amebadilisha tena listi ya Barcelona kwa mara ya 28 sasa, akiwaacha benchi Lionel Messi, Neymar na Luis Suarez, lakini safari hii hakuna aliyeyelalamika baada ya kuvuna ushindi mkubwa katika robo fainali ya Copa del Rey dhidi ya Elche.

Ikiwa imejaza makinda wengi, Barcelona ikaua 4-0 na kusonga mbele kwa jumla ya bao 9-0 kufuatia ushindi wa 5-0 kwenye mechi ya kwanza.

Rafinha  vies with Elche's midfielder Peral and Enzo              Roco during the Copa del Rey victory

Magoli ya Barcelona ambayo sasa itavaana na Atletico Madrid kwenye nusu fainali,  yalifungwa na Mathieu 21, Sergi Roberto 41, Pedro 43, Adriano 90.

Elche: Manu Herrera, Peral, Lomban, Pelegrin (Fajr 80), Albacar, Galvez (Roco 69), Pasalic (Adrian 63), Coro, Alvaro, Fragapane, Cristian Herrera. Subs not used: Pol Freixanet, Enzo Roco, Domingo Cisma, Aaron, Moha.

Barcelona: Ter Stegen, Montoya (Douglas 62), Bartra, Mathieu, Adriano, Gumbau, Sergi Roberto, Rafinha, Pedro, Munir, Adama (Halilovic 62). Subs not used: Masip, Pique, Rakitic, Douglas, Halilovic, Ie, Diagne



Comments