YANGA YATANGAZA WATENDAJI WAPYA…..


YANGA YATANGAZA WATENDAJI WAPYA…..

JERRY
Klabu ya Yanga imetangaza Secretarieti mpya,ambapo sasa Katibu Mkuu atakuwa Dr Jonas Tiboroha huku Mkuu wa Idara ya Masoko akiwa Omar Kaya.
kaaya
Mkuu wa idara ya masoko ya Yanga Omari Kaya aliyevaa kofia ( katikati ) akiwa na Anthony Mark kushoto na Shaffih Dauda.
Mbali na hao pia wapya walioingia kuongoza klabu hiyo ni pamoja na Muro anayekuwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano,Frank Chacha akiwa Mkuu wa Idara ya Sheria wakati Baraka Deusdedit akiwa Mkuu wa Idara ya Fedha.



Comments