Mshambuliaji wa                Yanga,Hamis Tambwe akiipatia timu yake bao la kusawazisha                katika mtanange wa muendelezo wa ligi kuu Tanzania bara                uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam                leo.Mechi hiyo imemalizika kwa timu zote kufungana bao                2-2.Magoli ya Azam yametiwa kimiani na Didier Kavumbagu                (dakika ya 5) na John Bocco (dakika ya 65) wakati magoli                ya Yanga yakifungwa na Hamis Tambwe (dakika ya 7) huku                goli la pili likufungwa na Simon Msuva (dakika ya                51).Picha zote na Othman Michuzi.
                Mfungaji wa goli la                kwanza kwa timu ya Yanga,Hamis Tambwe na Mfungaji wa Bao                la pili,Simon Msuva wakishangia ushindi wao dhidi ya timu                ya Azam katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam leo.
                Wachezaji wa Yanga                wakishangilia ushindi na Washabiki wao.
                        Wachezaji                wa timu ya Azam FC wakishangilia goli yao la kwanza dhidi                ya Yanga.
        




Comments
Post a Comment