WENGER AIUNGA MKONO RED CARD YA GIROUD, AMUONYA



WENGER AIUNGA MKONO RED CARD YA GIROUD, AMUONYA
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kadi nyekundu aliyolambwa mshambuliaji wake Olvier Giroud haina mjadala.
Wenger amesema Mfaransa mwenzake huyo alistahili kadi kutokana na kumpiga kichwa beki wa QPR.Goroud alifanya hivyo baada ya beki huyo kumsukuma kwa nyuma, tena bila kujali refa alikuwambele yake.
Pia Wenger amemuonya Giroud na kuonyesha wazi kutofurahishwa na kilichotokea.


Comments