Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band a.k.a FFU-Ughaibuni a.k.a "watoto wa mbwa" au viumbe wa ajabu "Anunaki anunnaki aliens" yenye makao yake nchini Ujerumani, inatoa Salam za heri ya mwaka mpya 2015 kwa wadau wote popote pale mlipo,mwaka mpya 2015 uwe wa mafanikio ,Amani na Upendo kwa wote.
HAPPY NEW YEAR 2015 ! HAPPY NEW YEAR 2015 !
msikose burudani kamili bofya
moja ya show za Ngoma Africa band nchini Ujerumani.
Comments
Post a Comment