NEWCASTLE YACHAPWA 1-0 NA SUNDERLAND


NEWCASTLE YACHAPWA 1-0 NA SUNDERLAND
Yoan Gouffran wa Newcastle (kushoto)
akigombea mpira na Seb Larsson wa
Sunderland katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St James Park.

Sunderland ilishinda 1-0 ugenini, bao pekee la Adam Johnson.



Comments