MBEYA CITY WAIBUKIA KWA NDANDA FC



MBEYA CITY WAIBUKIA KWA NDANDA FC
Baada ya kuboronga katika mechi saba za mwanzo za Ligi Kuu Bara, kikosi cha Mbeya City kimerejea na kupata ushindi.
Ikiwa nyumbani Sokoine, Mbeya City imeifunga  Ndanda FC kwa bao 1-0.
Bao lililofungwa dakika ya 3 tu na Deus Kaseke lilidumu hadi mwisho wa mchezo.


Comments