Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mkurugenzi na mlezi wa Mashujaa Band, Sakina Mbange maarufu kama Mamaa Sakina (pichani juu).
Saluti5 inachukua fursa hii kumtakia kila la kheri Mamaa Sakina ambaye amekuwa mdau mkubwa wa muziki wa dansi hata kabla ya kuanzisha Mashujaa Band.
Comments
Post a Comment