JOHN TERRY ASHIKA NAFASI YA PILI KWA KUFUMANIA NYAVU



JOHN TERRY ASHIKA NAFASI YA PILI KWA KUFUMANIA NYAVU

Nahodha na beki wa Chelsea John Terry sasa anashika nafasi ya pili kwenye orodha ya ya mabeki waliofunga mabao mengi kwenye ligi kuu ya England- beki wa zamani wa vilabu vya Everton,West Ham na Aston Villa David Unsworth anayeshika nafasi ya kwanza akiwa amefunga mabao 28 huku mabao hayo akiwa ameyafunga kwa mikwaju ya penati.
terry



Comments