HUSSEIN JAVU AFUNGA HAT TRICK….



HUSSEIN JAVU AFUNGA HAT TRICK….

kp
Kikosi cha Yanga leo kilicheza mechi mazoezi mechi ya dakika 90 wao kwa wao wakatoka 3-3 kikosi kimoja kilikuwa na wachezaji wafuatao, Dida, Juma Abdul,Edward Charles,Twite,Yondani,Said Makapu,Simon Msuva,Mrisho Ngasa,Amissi Tambwe,Kpah Sherman,Dany Mrwanda mabao yao yalifungwa na Tambwe dk 24 akipokea pasi ya mpira wa faulo ya Ngasa,Ngasa dk 26 akiwachambua mabeki baada ya akipokea pasi ya Msuva na la tatu likifungwa na Sherman dk 30 akipokea pasi ya Msuva.
kp 1
Kikosi kingine kilikuwa na Barthez,Salum Telela,Oscar Joshua,Patrick Ngonyani,Rajab Zahir,Hassan Dilunga,Nizar Khalfan,Haruna Niyonzima,Hussein Javu,Jerry Tegete,Andrey Coutinho (mabao ya timu hii yalifungwa yote na Javu aliyepiga Hat trick dk za 5 akipokea pasi ya OScar, dk 40 akipokea pasi ya Niyonzima, dk 59 akipokea pasi ya Tegete
kp 2



Comments