Rais wa Zanzibar na                Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein                (katikati) alipokuwa akiwapa mawaidha yake mafupi viongozi                wa mchezo wa Riadha walipofika ukumbi wa Ikulu Mjini                Unguja leo katika hafla ya kuwakabidhi vifaa alivyoviandaa                kwa Mchezo huo katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba                katika mpango wake wa kuimarisha na kuupa nguvu mchezo                huo. 
                Rais wa Zanzibar na                Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein                akimkabidhi vifaa vya Riadha Katibu wa mchezo huo Wilaya                ya Magharibi Unguja Othman Ali wakati wa hafla ya                kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika Wilaya ya                kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja. 
                Rais wa Zanzibar na                Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein                akikabidhi vifaa vya Riadha kwa Mwenyekiti wa mchezo huo                Wilaya ya Kaskazini B Unguja Juma Hassan Ali wakati wa                hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika                Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja.              
                Rais wa Zanzibar na                Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein                akimkabidhi vifaa vya Afisa Michezo Wilaya ya Kaskazini A                pia mjumbe wa Riadha Taifa Faida Salim Juma wakati wa                hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika                Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja.              
                Sehemu ya viongozi mbali                mbali.
                Vifaa vya Mchezo wa                Riadha vikiwa katika utaratibu uliopangwa ambapo Rais wa                Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali                Mohamed Shein alivigawa kwa wawakilishi wa Mchezo huo                katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba katika hatua zake                za kuupa nguvu mchezo huo ikiwemo na michezo mbali mbali                hafla ya kukabidhi vifaa hivi ilifanyika ikulu Mjini                Unguja leo.Picha na Ikulu.
        





Comments
Post a Comment