BONDIA TWAHA KASSIM WA MOROGORO AMTWANGA KWA KO, MUSSA CHITEPETE WA SONGEA
Bondia Twaha Kassim wa Morogoro kushoto akipambana na Mussa Chitepete wa Songea wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki. Kassim alishinda kwa KO ya raundi ya sita
Bondia Mussa Chitepete wa Songea akiwa chini baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Twaha Kassim wa Morogoro wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki. Kassim alishinda kwa KO ya raundi ya 6
Comments
Post a Comment