BALOZI KAMALA AKABIDHI TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELGIJI JEZI ZA MPIRA WA MIGUU

BALOZI KAMALA AKABIDHI TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELGIJI JEZI ZA MPIRA WA MIGUU
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania Ubelgiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

Comments