AZAM FC YAPANGWA NA EL MERREKH YA SUDAN KWENYE CAF CHAMPIONS LEAGUE


AZAM FC YAPANGWA NA EL MERREKH YA SUDAN KWENYE CAF CHAMPIONS LEAGUE

AZAMMMMM
Ratiba ya michuano kombe la klabu bingwa barani Afrika imepangwa leo ambapo mabingwa wa Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania Bara Azam FC imepangwa kupambana na El Merrekh ya Sudan.
azammm
Ikumbukwe timu hizo zilikutana kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Kagame na El merrekh ilifanikiwa kushinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 kumalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana.
Taarifa zaidi zitafuta……….



Comments