Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba akielezea jambo katika hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Vijana kutoka Kigamboni Community Center wakitoa burudani wakati wa hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi
Comments
Post a Comment