Gwiji wa kabumbu nchini Argentina Diego Armando Maradona na Gwiji wa Arsenal Thierry Henry wameonekana huko Umoja wa Falme za kiarabu UAE, kwenye sherehe za miaka 42 ya Uhuru wa nchi hiyo.
Wawili hao yaani Maradona na Henry walionekana wakiwa wamevalia mavazi ya Utamaduni wa kiarabu, huku Maradona akionekana akicheza nyimbo za kiarabu na wenyeji wao, na kuthibitisha usemi kwamba ukikuta wenzio wanalia basi na wewe unalia….
Comments
Post a Comment