Mwimbaji na rais wa Akudo Impact, Tarsis Masela Ijumaa usiku alizindua albam yake binafsi iliyopewa jina la "Acha Hizo".
Uzinduzi huo ulifanyika ndani ya ukumbi wa Ten Lounge na kusindikizwa na burudani kibao.
Miongoni mwa burudani zilizosindikiza uzinduzi huo ni Jahazi Modern Taarab, Akudo Impact na Mashujaa Band.
Kwa tathmin zaidi ya onyesho hilo, soma Aya 15 za Said Mdoe Jumatatu.
Pata picha kadhaa za onyesho hilo.
Akudo Impact wakiwa jukwaani
Jahazi Modern Taarab
Mdau King Kif (katikati) akiwa na madansa wa Twanga ambao nao walitia timu kushuhudia onyesho hilo
Leila Rashi wa Jahazi akiimba katika onyesho la Tarsis Masela
Dj Anuary Sanga wa East Africa Radio akipozi na Maria Soloma wa Twanga Pepeta
Tarsis Masela akifanya yake
Tarsis Masela akishambulia jukwaa na madansa wake
Tarsis Masela akiwa pamba mpya
MC wa onyesho hilo Hamis Dacota (kushoto) akiwapandisha jukwaani Jahazi
Tarsis Masela akikamua masauti yake matamu
Mzee Yussuf akisisitiza jambo jukwaani
Omar Baraka mkurugenzi wa Aset inayomiliki Twanga Pepeta
Kutoka kushoto ni Cecy, Dacota, Anu na Chaz Baba
Comments
Post a Comment