Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.
Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel.
The Big Boss Mohammed akiwa na msanii Shilole muda mfupi tu baada ya kuwasili uwanjani Brussel
Msanii Shishi Baby Shilole akipata picha na mmoja wa sapota wake bidada Latifa
Chantel akiwa na msanii Shilole baby
Shilole akipata picha na mmoja wa sapota wake |
Wanyamwezi wawili - Shilole na Maganga One |
Shishi bby akilamba picha na mmoja wa wapenzi waliokuja kumlaki uwanjani hapo Team Maganga One ikiwa na Shilole |
Kikosi kazi ambacho kitahakikisha Shilole atafanya kile kimemleta kikipata picha ya pamoja
Msanii Shilole akipata picha za kumbukumbu na wanadada waliokuja kumlaki uwanjani hapo |
Toto la Kinyamwezi ambalo linatisha kisawasawa linapokuwa jukwaani Ijumaa hii litakinukisha pale Leuven na jumamosi jukwaa litakuwa halitoshi pale Brussel. Picha zote na Maganga One Blog |
Comments
Post a Comment